Author: editor

Ununuzi wa simu za rununu yatarajiwa kufikia takriban billioni moja ifikiapo 2015

Ununuzi wa simu za rununu yatarajiwa kufikia takriban billioni moja ifikiapo 2015

Mobile
WITH mobile subscriptions in Nigeria and other African countries, expected to cross 761 million marks by December, the continent is targeting one billion subscribers by end of 2015 and 1.13 billion by 2017, with Nigeria leading the pack. Kuwepo kwa wingi wa ununuzi wa simu za rununu siku za hivi majuzi yatarajiwa kupita kiwango cha millioni 761 ifikiapo Disemba , Bara la Africa linapanga kuwafikia watumizi billioni moja katika miaka ijayo ya 2015, na billioni 1.13 ifikiapo mwaka wa 2017, Nchi ya Nigeria ya ongoza Soma zaidi
Jina la Cyrillic (.рф) kwenye mtandao limetajwa kuwa lenye wingi zaidi duniani

Jina la Cyrillic (.рф) kwenye mtandao limetajwa kuwa lenye wingi zaidi duniani

Internet
Jina la Cyrillic (.рф) kwenye mtandao limetanja kuwa lenye wingi zaidi duniani. Jina hili lina usajili mkubwa na pia ni jina lenye maendeleo mengi katika kiwango cha internationalized domains (IDN's). habari hizi ni Kutokana na ripoti kuu ya utumizi wa jina hizi za IDN ambao umetolewa majuzi na .eu registry EURid pamoja na UNESCO mnamo  November 2012. Soma zaidi