Ununuzi wa simu za rununu yatarajiwa kufikia takriban billioni moja ifikiapo 2015

WITH mobile subscriptions in Nigeria and other African countries, expected to cross 761 million marks by December, the continent is targeting one billion subscribers by end of 2015 and 1.13 billion by 2017, with Nigeria leading the pack.

Kuwepo kwa wingi wa ununuzi wa simu za rununu siku za hivi majuzi yatarajiwa kupita kiwango cha millioni 761 ifikiapo Disemba , Bara la Africa linapanga kuwafikia watumizi billioni moja katika miaka ijayo ya 2015, na billioni 1.13 ifikiapo mwaka wa 2017, Nchi ya Nigeria ya ongoza Soma zaidi

Subscribe to Blog via Email

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 266 other subscribers