Jina la Cyrillic (.рф) kwenye mtandao limetajwa kuwa lenye wingi zaidi duniani
Jina la Cyrillic (.рф) kwenye mtandao limetanja kuwa lenye wingi zaidi duniani. Jina hili lina usajili mkubwa na pia ni jina lenye maendeleo mengi katika kiwango cha internationalized domains (IDN’s). habari hizi ni Kutokana na ripoti kuu ya utumizi wa jina hizi za IDN ambao umetolewa majuzi na .eu registry EURid pamoja na UNESCO mnamo November 2012. Soma zaidi