Russia kuomba nafasi ya uongozi wa UN katika uthibiti wa mtandao, Imefichuliwa
Kongamano la “The Russian Federation” limeuliza uongozi wa Muungano wa Mataifa UN (united Nations) kupewa nafasi za juu katika uthibiti wa Mtandao , haya ni kulinganan na habari zilizo fichuliwa mnamo ijumaa katika mkutano ujao. Soma zaidi